Akiwa msaani machacha wa muziki binti wa kitanzania , aliwahi tajwa kuwa ni msaani mrembo zaidi afrika mashariki
Mambo ya sifa nyingi hayo, eti wahenga walisema sifa nyingi huharibu utamuu eeeeh !!??
Nataka niwe na wewe milele , kibao kilichogeuka kuwa kitanzi kwa Ray c, na kuwa sitaki kuwa na wewe milele , kwani watanionaje ?

Mcheza kwao hatuzwi, kujaribu na ugenini kukampelekea msaani huyo akipanda pipa hadi white house, huko akatamani lau angezaliwa Ulaya.
Lakini mwana wa kuku kamwe hatokuwa mwewe
No comments:
Post a Comment