Mkimbiza mwenge kitaifa ambaye anajulikana zaidi kwa jina la Masai kutoka mkoa wa Manyara akipuliza pembe la ng'ombe ambalo sauti yake vuvuzela la Afrika Kusini halioni ndani
. Kuna uwezekano mkubwa kuwa vuvuzela asili yake ni vifaa kama hivi vya asili kwani hata Wanyasa, Wangoni,Wapangwa wanavifaa vyao vya asili ambavyo wanavitumia katika kunogesha na kuchangamsha shughuri mbalimbali na hutoa sauti mithili ya vuvuzela.
Vunja mifupa kama meno bado iko
Wakimbiza mwenge kitaifa wakionyesha umahiri wao wa kucheza na kughani wakati mwenge ulipofika shule ya sekondari Wanike na kufungua jengo la utawala la shule hiyo iliyopo wilayani Njombe mkoani Iringa.
No comments:
Post a Comment