KARIBUNI MCHICHANI

Kwa Habari moto moto Kuhusu Siasa , Uchumi, Maisha, Elimu Na Mengine Mengi.



Friday, September 17, 2010

HUYU HAPA HARD MAD

                                                                                      HARD MAD
Msanii wa muziki wa kizazi kipya HARD MAD jumapili hii anafanya video yake ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la AMKA UJITETEE chini ya production ya VISUAL LAB na mtayarishaji wake ni ADAM JUMA.

Hivyo basi mashabiki na wapenzi wa muziki wa HARD MAD mkae mkao wa kula kwa maana jamaaa ni msanii wa kweli katika mziki huu na amekaa kimya kwa muda mrefu akijipanga,tegemea kupata vitu vya uhakika toka kwake.
HARD MAD anawaambia FANS wake kwamba mtegemee mambo mazuri toka kwake katika ujio wake huu mpya, na muwe tayari kuisapoti video yangu pindi itapotoka hewani

No comments:

Post a Comment