aliposimama katika kijiji cha Mashewa Korogwe vijijini leo asubuhi
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi Bi Halima Abdallah mwenye umri wa miaka mia moja na mbili (102) wakati aliposimama kuwasalimia wananchi katika kata ya Kerege wilaya ya Korogwe vijijini leo asubuhi.
liyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kerege Bwana Mjata Mohamed akirudisha kadi za wananchama waliokihama chama hicho na kuhamia CCM wakati Mgombea Urais wa CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete aliposimama kuwasalimia wananchi kijijini hapo leo asuhuhi(picha na Freddy Maro)
Source: Dullonet
No comments:
Post a Comment